Loading the content... Loading depends on your connection speed!

CSR

6 Responses to CSR

 1. P. Victus - Reply

  November 4, 2014 at 8:32 am

  Hi,

  Can give us some more details on the sale of shares by your bank. What is the price of the share? where can we purchase the shares and any other relevant information.

  Best regards,

  P. Victus

  • Weston Kaluwa - Reply

   April 8, 2015 at 6:33 am

   Hi P Victus,

   we are now registered at the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Market where you can go over the counter and buy our shares from different stock brokers/dealers. please visit DSE website to see all information about the price.

 2. Masija J Makamulo - Reply

  March 26, 2015 at 12:51 pm

  Tumsifu Yesu Kristu… Mimi ni mmoja kati ya waumini wakatoliki niliyebatizwa katika Jimbo la Bunda, mwaka 2012/13 nilipata kununua hisa za benki ya mkombozi ambazo zilikuwa ni kwa ajili ya tawi la Mwanza. Nilifanya hivo sababu tulisomewa barua kanisani ya kututaka kununua hisa, kwa wakati huo mimi nilikuwa nimemaliza elimu yangu ya chuo kikuu katika fani ya uchumi na takwimu na nilikuwa nafanya kazi ya kujitolea pale halmashauri ya wilaya ya Bunda. Nilipata malipo ya kazi niliyoifanya pale halmashauri na nikaitumia kununua hisa kwa bahati mbaya nilisafiri toka bunda na kwenda dodoma kuchukua cheti changu na kuanza kutafuta kazi. Nilipokuwa Dodoma kanisani benki ilileta tangazo tena ikiwataka waumini kununa hisa ili kuiongezea mtaji benki kwa kipindi hicho sikuwa na kazi yeyote hivo nilishindwa kununua hisa. Hivi sasa nimepata kazi niko Wizara ya viwanda na biashara kama Mtakwimu hapa Dar es salaam, naomba kujua utaratibu wa jinsi ya kupata uthibitisho kuwa nami nilinunua hisa za benki maana nina risiti tu mpaka sasa pia utaratibu wa kununua hisa ukoje kwa sasa. Nilinunua hisa za shilingi laki 2 na nusu kwa Padre Paul wa parokia ya Bunda mwenye namba 0766289971. Naomba msaada tafadhali

  • Weston Kaluwa - Reply

   June 5, 2015 at 7:17 am

   habari yako bwana Masija J Makalumo. tunakuomba ufike makao makuu ya benki mtaa wa Mansfield nyuma ya kanisa kuu la St.Joseph ili tuweze kukupatia maelezo ya kina nini cha kufanya uweze kutapa cheti chako cha hisa na kununua hisa zaidi kwenye soko la hisa la DSE. karibu sana mteja wetu

 3. lucas edward nyamwaga - Reply

  June 15, 2017 at 7:52 am

  naomba mnisaidie sifa za mkopo kwa wafanyakazi zinazoitajika kwa mtu ambaye ameajiliwa katika taasisi binafsi kwa vigezo na masharti

  • Weston Kaluwa - Reply

   June 23, 2017 at 6:47 am

   habari Lucas, tafadhali fika katika tawi la benki yako ya Mkombozi upate maelezo kwa kina toka kwa maafisa mikopo au unaweza kupiga simu namba 2137806/7. karibu sana

Leave a Comment